NINI MAANA YA NEEMA
NINI MAANA YA NEEMA
watu wengi wamekuwa wakitafsiri kuwa NEEMA ni ' hali ya kupewa kitu ambacho haukukidhi vigezo ama haukustahili kupewa lakini unapewa kwa sababu ya maamuzi ya anayetoa kitu hicho'. sina tatizo na tafsiri hiyo ila leo nimeona tuangalia tafsiri ya NEEMA kama ilivyoelezwa Katika kitabu cha TITO ambayo inamaanisha hivi ' NEEMA ni uweza wa MUNGU utuwezeshao kuukataa UBAYA na TAMAA za KIDUNIA' Kwa kuwa MUNGU Alijitoa NAFSI yake kwa AJILI yetu ili atukomboe na MAASI YOTE. Tito 2;11-14 UWE NA WAKATI MWEMA , NEEMA YA YESU IWE NAWE

Amen ubarikiwe
ReplyDelete