Posts

Soma mfano huu wenye mafundisho

Bill Gates aliandaa usahili mkubwa kwaajili ya kumpata meneja mpya Wakatokea watahiniwa 5000 na wakawekwa kwenye ukumbi mmoja 🔴 Mmoja wa watahiniwa hao ni Onyango, Mkenya anayeishi Marekani 🔴 Bill Gates akawashukuru watu wote waliojitokeza, na akasema "Kama kuna mtu hajui programu ya Java tafadhali aondoke" 🔴 Watu 2000 wakaondoka 🔴 Onyango akawaza "Ni kweli sijui Java lakini nikibakia nitakuwa nimepoteza nini, Ngoja nitajaribu," 🔴 Bill Gates akasema kama kuna mtu hana uzoefu wa kuongoza watu zaidi ya 100 tafadhali ondoka 🔴 Watu 2000 wakaondoka 🔴 Onyango akawaza "ni kweli sijawahi kuwa kiongozi hata wa mtu mmoja, zaidi ya kujiongoza mwenye lakini nikiendelea kubakia nitakosa nini, je nini kitanitokea Akabakia tena 🔴 Bill Gates akasema" Kama unajijua elimu yako hata Diploma ya utawala huna tafadhali ondoka" 🔴 Watu 500 wakaondoka 🔴 Onyango akawaza tena "Elimu yangu ni darasa la saba, lakini nikiendelea kubakia ...

Ilikuwa kawaida yake kulala na nyoka wake, na haya ndiyo yaliyomkuta.

Ilikuwa kawaida yake kulala na nyoka wake, na haya ndiyo yaliyomkuta. Hii ni hadithi ya kweli kuhusu mwanamke aliyekuwa na nyoka wake aina ya chatu aliyempenda sana. nyoka alikuwa na urefu wa mita 4, aliishi naye kwa muda mrefu na siku zote nyoka yule alionekana mwenye afya. Hata hivyo, nyoka alianza kukosa hamu ya kula kwa wiki kadhaa jambo lililomnyima raha mama yule kwani alihisi nyoka wake ni mgonjwa. Mama alijaribu kumpa kila kitu alichoweza ambacho nyoka wangependa kula lakini haikusaidia kitu, mama yule alikata tamaa na aliumia zaidi kwakuwa alimpenda sana nyoka wake. Hatimaye mama yule aliamua kumpeleka nyoka wake kwa daktari wa mifugo. Daktari alimsikiliza yule mama kwa makini kisha akamuuliza , " Je, unalala na nyoka wako wakati wa usiku? anapenda kulala karibu zaidi na wewe na kujipimisha urefu wake na wako? " Mama kwa matumaini makubwa alisema, "Ndiyo! Ndiyo! anafanya hivyo kila siku na inanipa huzuni kwa sababu nahisi kuna kitu anatamani kuniambia...

Jifunze kusikia sauti ya Mungu

Image
Jifunze kusikia sauti ya Mungu wapenzi wetu Mwokozi ni kusubiri kwa kuwa na kufungua mlango wa moyo wako na kusema kuwa katika kukaa yetu. Yesu anasema: "Tazama, nasimama mlangoni na kubisha Mtu akisikia sauti yangu na kuufungua mlango, mimi naye kula pamoja naye na yeye pamoja nami." (Ufunuo 3:20) maisha yetu ni ya mapambano daima, sisi kupigana dhidi ya nguvu na majeshi ya uovu, na juu ya maadui wa kiroho ambao kamwe kulala. Tunahitaji kupinga majaribu na kuwashinda ili Kristo alishinda. Wakati mioyo yetu kwa Yesu kuingia chumba, utulivu na subira hata katika vipimo toughest. Mungu anasema katika njia tofauti Kuna njia tatu ambayo Bwana inaonyesha mapenzi yake ya kuongoza yetu na kurekebisha matokeo tofauti. Jinsi gani tunaweza kutambua sauti yake kutoka sauti za kigeni? Jinsi gani unaweza kutambua sauti ya wachungaji wa uongo? Mungu inaonyesha mapenzi yake katika Neno lake, Maandiko Mtakatifu. sauti yake pia ni wazi katika kazi yake Maongozi, tunata...