Posts

Showing posts from May, 2016

Jifunze kusikia sauti ya Mungu

Image
Jifunze kusikia sauti ya Mungu wapenzi wetu Mwokozi ni kusubiri kwa kuwa na kufungua mlango wa moyo wako na kusema kuwa katika kukaa yetu. Yesu anasema: "Tazama, nasimama mlangoni na kubisha Mtu akisikia sauti yangu na kuufungua mlango, mimi naye kula pamoja naye na yeye pamoja nami." (Ufunuo 3:20) maisha yetu ni ya mapambano daima, sisi kupigana dhidi ya nguvu na majeshi ya uovu, na juu ya maadui wa kiroho ambao kamwe kulala. Tunahitaji kupinga majaribu na kuwashinda ili Kristo alishinda. Wakati mioyo yetu kwa Yesu kuingia chumba, utulivu na subira hata katika vipimo toughest. Mungu anasema katika njia tofauti Kuna njia tatu ambayo Bwana inaonyesha mapenzi yake ya kuongoza yetu na kurekebisha matokeo tofauti. Jinsi gani tunaweza kutambua sauti yake kutoka sauti za kigeni? Jinsi gani unaweza kutambua sauti ya wachungaji wa uongo? Mungu inaonyesha mapenzi yake katika Neno lake, Maandiko Mtakatifu. sauti yake pia ni wazi katika kazi yake Maongozi, tunata...

AINA/HATUA TATU ZA MAJARIBU UTAKAYOKUTANA NAYO KATIKA MAISHA. MATHAYO 4:1-11..

  AINA/HATUA TATU ZA MAJARIBU UTAKAYOKUTANA NAYO KATIKA MAISHA. MATHAYO 4:1-11 .. ."Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani,ili ajaribiwe na IBILISI.Akafunga siku arobaini mchana na usiku,mwisho akaona njaa.Mjaribu akamjia akamwambia,Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu,amuru kwamba mawe haya yawe mkate.Naye akajibu akasema,Imeandikw,Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo kinywani mwa Mungu.Kisha ibilisi akamchukua mpaka mji mtakatifu ,akamweka juu ya kinara cha hekalu,akamwambia,Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu jitupe chini; maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake;Na mikononi mwao watakuchukua;Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.Yesu akamwambia,Tena imeandikwa,Usimjaribu Bwana Mungu wako.Kisha ibilisi akamchukua mpaka mlima mrefu mno,akamwonyesha milki zote za ulimwengu,na fahari yake,akamwambia, Haya yote nitakupa,ukianguka kunisujudia.Ndipo Yesu alipomwambia,Nenda zako,shetani;kwa maana imeandikwa,Msujudie Bwana Mungu wako,umwabudu yeye peke yake.Kisha ibilisi ak...

SOMO KOMBOA NDOTO ZAKO

Image
KOMBOA NDOTO ZAKO Nini maana ya ndoto? Ndoto ni hali fulani inayokuja kwa mtu akiwa amelala usingizi yaani viungo  vyote vya mwili vinakuwa havina ushirikiano. Tafsiri ya pili Ndoto ni malengo au matarajio anayokuwa nayo mtu na wakati huo huo anakuwa ana akili timamu yaani akiwa macho hajalala usingizi, vilevile ni mipango ya mtu. Wakristo wengi wana ndoto lakini wameshindwa  kuzifikia ndoto zao, kwasababu wameyakataa maarifa ya Neno la Mungu. (Jambo hili ni la kuwa nalo makini sana jinsi ninavyopwaya katika Neno ndivyo nitakavyopwaya katika mafanikio, kwahiyo lazima niweke bidii katika kutafuta maarifa ya Neno la Mungu) Mithali 1:25-33. (Nikipwaya kwenye Neno udhaifu nilio nao utanidhalilisha, hii yote inatokana na kukosa ufahamu wa Kimungu). Chanzo cha ndoto zangu nilizo nazo kupoteza mwelekeo ni pale ambapo ninaukataa ufahamu wa Neno la Mungu. Ninapoukataa ufahamu wa Neno  la Mungu maana yake nimeukataa mwonngozo wa Roho Mta...