
wakati mwingine tunahisi hatumuoni Mungu wala hasikii maombi yetu,lalin kumbe ni sisi wenyewe tunashindwa kujitathimin na kujiweka vizuri na Mungu .Lakini vitu vinavyokwamisha maombi yetu yasiwe na majibu/manufaa 1.MAOVU Isaya 59:1-2 maovu yetu ndiyo sababu kubwa Mungu anashindwa kujidhihirisha kwetu maovu yetu yanatufarakanisha na uso wa Mungu 2.KUKATA TAMAA Roho ya kukata tamaa ni kizuizi kikubwa katika maisha yetu. 3.LENGO BAYA Maombi ya kujisifu Mungu hawezi kujidhihirisha (TUFANYE MAOMBI KWA AJILI YA UTUKUFU WA MUNGU NA KUMWINUA) na Mungu atajidhihirisha kwetu. 4.KIBURI Luka 18:10-14 Kuomba kwa kutokuangalia hali ya kimaisha utajiri,umaskini na mengineyo. 5.MAOMBI Mambo katika ulimwengu wa Roho hayaendi pasipo imani 6. KUSAMEHE Watu wengi tunashindwa kusamehe tunashindwa kujiachilia tunabeba vitu vizito moyoni mwetu (uchungu) Mungu anaangalia moyo wa mtu,Mungu hakai mahali penye huzuni jifunze kusamehe.Marko 5:21-27 ...