wakati mwingine tunahisi hatumuoni Mungu wala hasikii maombi yetu,lalin kumbe ni sisi wenyewe tunashindwa kujitathimin na kujiweka vizuri na Mungu .Lakini vitu vinavyokwamisha maombi yetu yasiwe na majibu/manufaa
1.MAOVU  
  Isaya 59:1-2
 maovu yetu ndiyo sababu kubwa  Mungu anashindwa kujidhihirisha  kwetu maovu yetu yanatufarakanisha na uso wa Mungu
2.KUKATA TAMAA
  Roho ya kukata tamaa ni kizuizi kikubwa katika maisha yetu.
3.LENGO BAYA
Maombi ya kujisifu Mungu hawezi kujidhihirisha (TUFANYE MAOMBI KWA AJILI YA UTUKUFU WA MUNGU NA KUMWINUA) na Mungu atajidhihirisha kwetu.
4.KIBURI
Luka 18:10-14
Kuomba kwa kutokuangalia hali ya kimaisha utajiri,umaskini na mengineyo.
5.MAOMBI
Mambo katika ulimwengu wa Roho hayaendi pasipo imani
6. KUSAMEHE
Watu wengi tunashindwa kusamehe tunashindwa kujiachilia tunabeba vitu vizito moyoni mwetu (uchungu) Mungu anaangalia moyo wa mtu,Mungu hakai mahali penye huzuni jifunze kusamehe.Marko 5:21-27
Efeso 3:12
7.KUJIACHILIA
 Jifunze kuachilia kila aina ya vikwazo ktk maisha yetu tunaweza kusamehe ila tatizo ni kuachilia

1Petro3;7 jifunze kuachilia waliokukosea.
  • Daudi anasema katika magumu yote nalimwona  bwana kasimama mbele yangu.Tujifunze kutokukata tamaa,kuw na imani,kuliishi neno,kuwa na moyo wa nyama (moyo wa kunyenyekea, usiojihesabia haki moyo uliopondeka)
                                      NA MUNGU AKUBARIKI





Post a Comment

0 Comments